CPA Boniface T. Ndengo
Fursa ni Nyingi Sana, Kazi yetu HAIPPA ni kuzifikia, kuzichukua na kukusogezea. Kazi yako ni moja tu kuwekeza na kuzitumia. HAIPPA ni Akademi ya Ubunifu, Uwekezaji na Biashara Afrika tunajihusisha na Ubunifu Mkubwa kwenye Tasnia za Fedha, Masoko, Menejiment na Uwekezaji. Unapochagua kuwekeza nasi tarajia Gawio NONO kila Miezi mitatu. Nawakaribisha Vijana, Wabunifu, Wajasiriamali, Wazalishaji, Wahitimu, Wanataaluma, Watumishi, Wazazi na Wastaafu kutumia Fursa za HAIPPA ambazo ni Uwekezaji, Soko la HAIPPA Afrika, Mitaji, Teknolojia, Msaada Kuanzisha, kusajili na kurasimisha biashara, kupata Vibali, Kuhudumia Zabuni uliyoshinda, Kutangaza Biashara au bidhaa zako, msaada wa Kihasibu au Kisheria. HAIPPA tuna mifumo bora kabisa ya ufungaji Hesabu na uwasilishaji taarifa itakayokupunguzia stress nyingi za kihasibu na za kisheria. Jisajili tukupeleke kwenye Fursa za miradi ya kimkakati na Masoko makubwa ili kwa pamoja Watanzania tujenge uchumi mkubwa. Karibu kwenye familia yetu ya HAIPPA Newbie Investors, Managers and Entrepreneurs, Tunabuni,Tunawekeza, Tunajenga Biashara, Tunauza kwenye Masoko makubwa, Tunazalisha Ajira za Managers, Tunasaidia Kurasimisha na Kukuza Biashara na Tunawezesha Vijana Kukuza Ubunifu, Vipaji na kufika mwisho wa Ndoto zao. Elimu na usajili ni bure kabisa, Lipia tu huduma ya HAIPPA unayoihitaji. Karibu Tuijenge Sekta Binafsi Tanzania.
2024-05-30
2024-05-31